Idadi kubwa ya vijana wa kiume waacha masomo ya ufundi

  • | Citizen TV
    124 views

    Idadi kubwa ya vijana wa kiume wanaojiunga na vyuo vya ufundi kaunti ya kilifi hutelekeza masomo Yao ikilinganishwa na vijana wa kike.