Skip to main content
Skip to main content

Idadi kubwa ya wanawake busia wameathirika na dawa za kulevya

  • | Citizen TV
    2,193 views
    Duration: 4:20
    Imebainika kuwa idadi kubwa ya wanawake Busia wameathirika na uraibu wa dawa za kulevya na pombe, ila wanahofia kutembelea vituo hivyo vya kurekebisha maadili kwa kuhofia unyanyapaa. Hali hiyo imeibua shinikizo serikali ya kaunti kuweka vituo zaidi vya kuwarekebisha waraibu, haswa wanawake ili kuwasaidia kupata matibabu na ushauri nasaha kwa wakati ufaao.