Skip to main content
Skip to main content

Idadi ya raia wa Burundi wanaofurika katika ubalozi wao jijini Nairobi yaendelea kuongezeka

  • | NTV Video
    10,591 views
    Duration: 3:17
    Idadi ya raia wa Burundi wanaofurika katika ubalozi wao jijini Nairobi iliendelea kuongezeka. Baadhi yao wakikesha ubalozini, wengine wakiwa na watoto wadogo, wakisubiri hati za usafiri za kuwawezesha kurejea nchini kwao, hata baada ya serikali ya Kenya kuthibitisha kuwa si kufukuzwa wanafukuzwa, bali wanahitajika tu kuwa na vibali na leseni za kuendesha biashara zao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya