7 Mar 2026 7:30 pm | Citizen TV 25,460 views Duration: 3:48 Watu 25 wamethibitishwa kufariki huku 29 wakiokolewa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ijumaa usiku na kusababisha mafuriko. Kaunti ya Nairobi iliathirika pakubwa na mafuriko hayo huku vifo vya watu 23 vikiripotiwa