Idadi ya waathiriwa wa maporomoko Mai Mahiu imefikia watu 60

  • | Citizen TV
    3,451 views

    Idadi ya watu waliofariki kwenye mkasa wa maporomoko Mai Mahiu imefikia 60 baada ya watu wengine wawili kuaga dunia. Watu 30 bado hawajulikani waliko, huku familia za watu hao zikiendelea kuwatafuta. Ombi lao likiitaka serikali kuimarisha juhudi za kuwatafuta jamaa zao ili waweze kuwazika iwapo hawatapatikana wakiwa hai.