Idadi ya wakenya waliofariki kutokana na mafuriko kaskazini mashariki yafika watu kumi na wanne

  • | K24 Video
    1 views

    Idadi ya wakenya waliofariki kutokana na mafuriko katika eneo la kaskazini mashariki imefika watu kumi na wanne huku kaunti ya Mandera ikiwa na nusu ya idadi hiyo. Mshirikishi wa eneo la kaskazini mashariki John Otieno hii leo amefanya ziara katika maeneo kadhaa yaliyoathirka na kuahidi kwamba serikali inafanya kila juhudi kuwasaidia waathiriwa.