Skip to main content
Skip to main content

Idadi ya waliofariki katika tetemeko la ardhi yaongezeka Afghanistan. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,902 views
    Duration: 28:10
    Mamlaka za Taliban nchini Afghanistan zimeripoti kuwa idadi ya watu waliofariki katika tetemeko hilo la jumapili imeongezeka hadi kufikia zaidi ya 1400, huku takriban watu elfu tatu wakijeruhiwa. Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa watu walikuwa wamelala wakati tetemeko hilo lilipotokea na hawakuweza kufika eneo salama katika jimbo la Kunar. Juhudi za uokoaji zimetatizwa na maporomoko ya ardhi yaliyofunga barabara katika maeneo ya milimani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw