- 1,038 views
idadi ya waliofariki kwenye ajali iliyohusisha basi la chuo kikuu cha Pwani na matatu katika eneo la Naivasha imeongezeka na kufikia watu 17. Hii ni baada ya watu wengine watatu kufariki kutokana na majeraha waliyopata. Wanafunzi kumi na mfanyikazi mmoja wa chuo kikuu cha Pwani walifariki kufuatia ajali hiyo iliyotokea katika barabara ya nairobi kuelekea nakuru.manusura wanasema waliagizwa kufunga mikanda ya usalama muda mfupi kabla ya basi hilo kugonga matatu na kuanguka kwenye mtaro. waziri wa afya wa Nakuru Jackline Osore amesema watu 76 wametibiwa katika hoaspitali ya kaunti ya Naivasha huku waliofariki wakikata roho kwenye eneo la mkasa au wakitibiwa. watu 12 wamesafirishwa hadi katika hospitali ya Kenyatta na hospitali ya mkoa ya Nakuru kwa matibabu maalum. Basi hilo lilikuwa na wanafunzi 62.
Idadi ya waliofariki kwenye ajali iliyohusisha basi la Chuo Kikuu cha Pwani na matatu yafikia 17
- - Mustakabali Wa Siasa ››
- 13 May 2025 - Magistrate BenMark Ekhubi delivered the ruling on Tuesday, allowing an application by the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP).
- 13 May 2025 - The floods were triggered by heavy rainfall in the nearby Eburru Forest, which sent torrents of water cascading down into surrounding villages. The sudden deluge left a trail of destruction in its wake, washing away property, submerging farmland, and…
- 13 May 2025 - Jude Chesire, the CEO of the Kenya Sugar Board, has asserted that all private investors in the sugar sector will have their licenses revoked by the State if they underdeliver.
- 13 May 2025 - In a decision delivered by Justice R. Nyakundi, the court issued conservatory orders prohibiting the committee—established through Gazette Notice No. 4069, Vol. CXXVII—No. 64 dated March 28, 2025—from compiling reports, issuing recommendations, or…
- 13 May 2025 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has admitted that Haiti's Multinational Security Support Mission has been operating without the necessary equipment and support.
- 13 May 2025 - Kenyans have been invited to submit their views on the changes before May 27.
- 13 May 2025 - In the ruling, the court ordered the defendants to file their responses within 7 days.
- 13 May 2025 - The notice affects motorists and other stakeholders in the motor vehicle sector.
- 13 May 2025 - The DPP, through Principal Prosecution Counsel Victor Owiti, persuaded the court that the offences for which the fugitive is sought are indeed extraditable, as they also amount to offences under Kenyan law.
- 13 May 2025 - The matatu was filmed while being driven recklessly before a crash.