Idadi ya waliofariki kwenye maandamano yafikia watu wanane

  • | Citizen TV
    7,403 views

    Idadi ya watu waliofariki kwenye maandamano imefikia watu wanane leo, huku wengine Sita wakiuguza majeraha ya risasi katika hospitali ya Homabay . Aidha, Polisi walilazimika kutumia vitoa machozi katika kaunti za Nairobi, Kisumu na Siaya ambapo maandamano yalishuhudiwa.