Idadi ya wanafunzi chuoni Taita Taveta yaongezeka

  • | Citizen TV
    101 views

    Ni afueni kwa wakaazi wa Taita-Taveta waliokua na ari ya kutaka kuongezwa kwa kozi zingine kando na za kisayansi katika chuo kikuu cha Taita-Taveta. Chuo hicho ambacho kinajulikana kwa kozi za kisayansi pekee sasa kimesajili idadi ya wanafunzi wapya mwaka huu baada ya uzinduzi wa kozi zisizo za kisayansi kama vile kozi ya Elimu.