Idadi ya wanafunzi wanaojiunga na shule katika kaunti ya Kilifi yaongezeka

  • | Citizen TV
    120 views

    Kuboreshwa kwa muundo msingi katika shule za chekechea kumesaidia kuongeza idadi ya wanafunzi wanaojiunga na shule hizo katika kaunti ya Kilifi. Haya ni kwa muujibu wa waziri wa Elimu kaunti hiyo.