Idadi ya wanawake katika sekta ya sayansi na teknologia inaendelea kuongezeka kila uchao

  • | K24 Video
    29 views

    Idadi ya wanawake katika sekta ya sayansi na teknologia inaendelea kuongezeka kila uchao, hali ambayo inaongeza matumaini ya kupunguza pengo lilioko katika sekta iliyotawaliwa na wanaume. Licha ya ongezeko hilo, mikakati kabambe inapaswa kuwekwa ili kuwapatia fursa zaidi wanawake katika sekta hiyo. Ili kufahamu zaidi kuhusu sekta hiyo nilizungumza na wanawake waliokatika nyanja ya sayansi na kuandaa