Idadi ya watu waliouwawa Garissa yafikia watu wanane

  • | Citizen TV
    1,425 views

    Idadi ya watu waliouawa katika kile kinadaiwa kuwa vita baina ya koo mbili eneo la kunaso kaunti ya Garissa imefikia watu wanane baada ya watu wengine wawili kuuawa usiku wa kuamkia leo.