Idadi ya watu wazima wanaoandika KCPE imepungua kwa asilimia kubwa sana

  • | West TV
    72 views
    Huku mtihani wa kitaifa wa kcpe na wa kpsea ukiendelea kote nchini, mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya kakamega isaiah nyamweno amehoji kuwa idadi ya watu wazima walioukalia mtihani huo katika kaunti ya kakamega imepungua