- 2,334 viewsDuration: 2:43Mvua kubwa inayonyesha itaendelea katika maeneo mbalimbali nchini. Kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya anga, maeneo kadhaa nchini yatapata mvua kubwa kwa siku tatu zijaazo. Kaunti za nairobi, kiambu, kajiado, na maeneo ya magharibi mwa nchi na bonde la ufa ndio yameathirika zaidi na gharikakatika kipindi cha saa 24 zilizopita.