25 Sep 2025 10:31 am | Citizen TV 232 views Duration: 1:34 Kama njia moja ya kuhakikisha wafungwa wanakaa katika mazingira bora magerezani, idara ya kurekebisha tabia inaendeleza mpango wa kusambaza vitanda elfu 20 katika magereza yote nchini