26 Nov 2025 10:47 am | Citizen TV 296 views Duration: 1:59 Idara ya Mahakama inaangazia upungufu mkubwa wa fedha katika mwaka wa kifedha wa 2026/2027 na sasa inaomba usaidizi wa umma ili kushinikiza mgao wa juu wa bajeti..