Idara ya uhamiaji imeripotiwa kuwatapeli wakenya wanaotafuta hati za kusafiria

  • | K24 Video
    63 views

    Idara ya uhamiaji imeripotiwa kuwatapeli wakenya wanaotafuta hati za kusafiria kwa kuwatoza shilingi 6,050 kwa hati ya kurasa 50 ila wanapewa hati za kurasa 34 ambazo kawaida ada yake ni shilingi 4500. Hii ni kulingana na ripoti mpya ya tume ya haki ya utawala, ambayo imefichua visa vingi vya usimamizi usiofaa katika idara ya uhamiaji wakati wananchi wanahitaji huduma.