Skip to main content
Skip to main content

Idara ya ulinzi yachukua usimamizi wa viwanja vya Kiprugut Chumo na Kapkatet

  • | Citizen TV
    1,038 views
    Duration: 2:50
    Idara ya Ulinzi sasa imechukua rasmi usimamizi na ukarabati wa viwanja vya Kiprugut Chumo na Kapkatet baada ya mradi wa kuviboresha kufikia viwango vya kimataifa kukwama. Uwanja wa Kiprugut Chumo, unaojulikana pia kama Kericho Green Stadium, umeendelea kubaki katika hali duni huku ukiwa umezingirwa na sakata la ubadhirifu wa mamilioni ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya ukarabati wake.