Idara ya Usalama Kenya yatumia michezo kujenga ushirikiano na jamii

  • | VOA Swahili
    130 views
    Idara ya Usalama nchini Kenya imeanza kutumia michezo kuileta karibu jamii ikiwa ni hatua ya kuhamasisha amani, ikitambua kuwa hususan wanawake wana mchango mkubwa katika kuimarisha usalama nchini humo. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili kuhusu mradi huo unaoshirikisha shirika la kimataifa... #idara #usalama #kenya #michezo #wananchi #amani #voa #voaswahili #raia #wanawake - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.