25 Nov 2025 10:56 am | Citizen TV 972 views Duration: 1:40 Idara ya usalama katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia imepiga marufuku hafla za disco matanga na kuahidi kukabiliana na uuzaji wa pombe haramu msimu huu wa likizo ndefu.