Skip to main content
Skip to main content

Idara ya usalama yapiga marufuku disco matanga Butula

  • | Citizen TV
    20 views
    Idara ya usalama katika eneo bunge la Butula Kaunti ya Busia imepiga marufuku hafla za disco matanga na kuahidi kukabiliana na uuzaji wa pombe haramu msimu huu wa likizo ndefu.