- 1,286 viewsDuration: 15:57Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka inasema chaguzi ndogo zilizopita zilitoa taswira kamili ya utayari wake wa kusimamia uchaguzi mkuu ujao licha ya changamoto kadhaa za utovu wa usalama. Makamishna wa tume hiyo wanazungumza na washikadau kwenye mkutano wa kutathmini mafanikio na mapungufu ya chaguzi hizo za novemba 27.