Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC itarejelea shughuli endelevu ya usajili wa wapiga kura hapo kesho, ikiwapa wakenya waliotimu umri fursa ya kujisajili kuwa wapiga kura au kusasisha taarifa zao kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. IEBC imesema shughuli hiyo itatekelezwa katika ofisi za maeneo bunge yote kote nchini, isipokuwa maeneo yanayojiandaa kwa chaguzi ndogo mwezi Novemba.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive