Skip to main content
Skip to main content

IEBC kuanza kuwasajili wapiga kura wapya Jumatatu

  • | Citizen TV
    1,034 views
    Duration: 4:26
    Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC itaanza zoezi la kuwasajili wapigakura wapya jumatatu ijayo. wakizungumza kwenye kikao na kamati ya bunge kuhusu utekelezaji wa katiba, makamishna hao wameeleza kuwa zoezi hilo halitafanyika kwenye maeneo yenye chaguzi ndogo hadi chaguzi hizo zikamilike.