Skip to main content
Skip to main content

IEBC yaanza shughuli ya kuwasajili wapiga kura

  • | KBC Video
    145 views
    Duration: 2:49
    Tume huru ya uchaguzi (IEBC) inadhamiria kutafuta rasilimali zaidi kufadhili shughuli ya usajili wa wapiga kura kote nchini, baada ya uchaguzi mdogo wa tarehe 27 mwezi Novemba mwaka huu. Mwenyekiti wa tume ya IEBC, Erastus Ethekon, aliyeongoza uzinduzi wa shughuli hiyo alisema kuwa tume hiyo inalenga kusajili takriban wapiga kura wapya milioni sita. Shughuli hiyo inafanyika katika maeneo bunge yote 290 nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive