Takwimu za Idara ya Forodha ya China (GAC) zinaonesha kuwa biashara kati ya China na mataifa ya kanda ya ASEAN ilifikia kiwango cha kihistoria katika miezi minane ya kwanza ya 2025, ikionesha ukuaji wa asilimia 9.7. Ushirikiano wa karibu katika sekta za kilimo na utengenezaji bidhaa umechochea ongezeko hili, huku bidhaa zilizotengenezwa zikichangia zaidi ya asilimia 90 ya biashara hiyo. Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive