Wakazi wa Lhasa, Xizang, wameendeleza utamaduni wa karne nyingi wa kuhifadhi Hekalu la Potala, lililotangazwa kuwa urathi wa dunia na shirika la UNESCO. Kwa pamoja wakazi hao hukusanya na kupaka rangi ya chokaa nyeupe iliyochanganywa na maziwa ya nzao wa manyoya marefu na viungo vingine, kuambatana na maelekezo ya kipekee ya zaidi ya miaka 300. Maelezo ya kina katika Makala kuhusu Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive