Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Kampuni 500 bora China

  • | KBC Video
    21 views
    Duration: 2:43
    China imetangaza orodha mpya ya kampuni 500 za kibinafsi kubwa zaidi, ambapo kampuni ya biashara mtandaoni JD.com imechukua nafasi ya kwanza. Kama anavyosimulia Tom Wanjala, hii ni ishara ya ukuaji thabiti wa sekta ya binafsi katika uchumi wa China. Kwa taslifu kamili tazama Makala ya ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive