Ifahamu China | Maingiliano yatengeneza soko la manunuzi nchini China

  • | KBC Video
    16 views

    Manunuzi yanaendelea kuwa injini kubwa ya ukuaji wa uchumi wa China, na yalichukua zaidi ya asilimia 65 ya ukuaji wa uchumi wa nchi hiyo kwa mwaka jana. Soko la manunuzi nchini China linashuhudia maingiliano ya maduka ya ndani na nje ya mtandao, ambayo yanashawishi mawazo ya manunuzi duniani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #IfahamuChina #WorldCupIkoKBC