Ifahamu China: Matumizi ya teksi za angani yanazidi kunoga jijini Shenzhen, Kusini mwa China.

  • | KBC Video
    40 views

    Matumizi ya teksi za angani yanazidi kunoga jijini Shenzhen, Kusini mwa China. Jiji hilo ni kitovu cha teknolojia ambayo imelipa jiji hilo maendeleo makubwa kutokana na matumizi ya mfumo bora wa uchukuzi wa angani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News