Ifahamu China: Mji Wa Kale Wa Dunhuang

  • | KBC Video
    4 views

    Mji wa kale wa Dunhuang, ulioko katikati ya jangwa kubwa katika Mkoa wa Gansu, kaskazini magharibi mwa China, umeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa watalii. Watu wengi huvutiwa na uzuri wa maeneo maarufu ya Mlima Mingsha na Crescent Spring miongoni mwa mengine. Maelezo zaidi ni katika Makala yetu ya ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive