Ifahamu China: Roboti inayochuma majani chai

  • | KBC Video
    24 views

    Katika juhudi za kuimarisha matumizi ya teknolojia mpya kuinua uchumi wa China, roboti inayotumia akili unde inasaidia wakulima kuchuma majani chai Mashariki mwa nchi hiyo. Hayo ni kwenye makala yetu kuhusu Ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive