Wanaanga wa Shenzhou-20 walioko katika Kituo cha Anga cha China wamepiga hatua thabiti katika majaribio mbalimbali ya sayansi ya anga katika siku za hivi majuzi. Timu hiyo ya wanaanga watatu imekamilisha nusu ya safari yao ya angani, wakifanya tafiti za tiba ya angani, ushirikiano kati ya binadamu na roboti, pamoja na majaribio ya teknolojia mpya kama usanisinuru bandia wa nje ya dunia. Maelezo ya kina katika Makala kuhusu Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive