Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Utafiti Antaktika

  • | KBC Video
    196 views
    Duration: 2:58
    Timu ya 42 ya China ya Msafara wa Utafiti wa Antaktika imeanza kushusha vifaa vya utafiti wa kisayansi baada ya kuwasili karibu na Kituo cha Zhongshan. Operesheni hiyo inaendelea kwa msaada wa meli maalum za kuvunja barafu, Xuelong na Xuelong 2, kama sehemu ya safari ya miezi saba ya utafiti. Maelezo kamili ni katika Makala yetu ya ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive