Skip to main content
Skip to main content

Ikulu yatetea matumizi ya shilingi bilioni 17, yasema bajeti ilikuwa ndogo

  • | Citizen TV
    768 views
    Duration: 2:28
    Ikulu ya Nairobi imetetea matumizi yake ya shilingi bilioni 17 mwishoni mwa mwaka huu wa kifedha. Ikulu, itakuwa imetumia mara dufu bajeti yake ya mwaka mzima wa kifedha iliyopewa na bunge. Mratibu wa ikulu Katoo Ole Metito hata hivyo ameiambia runinga ya citizen kwamba, ikulu ilipewa bajeti ndogo, akisema shughuli za ikulu zitahitaji shilingi bilioni 20 mwaka ujao