- 128 viewsWanajeshi pamoja na timu za uokozi wakipekuwa kwenye matope na mawe katika eneo la Kerala, India. Wakati zoezi hili likiendelea mvua imeendelea kunyesha, wanatafuta manusura pamoja na miili ya watu waliokufa kwenye milima katika jimbo la Kerala nchini India, siku moja baada ya watu 165 kufa kutokana na maporomoko ya ardhi kufuatia mvua za masika. Kufikia sasa karibu watu 1,000 wameokolewa kutoka kwenye vijiji vya milimani, na kwenye mashamba ya majani ya chai, katika mkoa wa Wayana na wengine 225 wakiwa hawajulikani walipo ripoti zimesema . Watu 166 wameripotiwa kufa na wengine 195 kujeruhiwa wakati televisheni ya ndani Asianet ikiripoti vifo 179. Mvua kubwa kwenye jimbo la Kerala ambalo ni kivutio kikubwa zaidi cha watalii nchini India zilipelekea maporomoka ya ardhi Jumanne, na kusababisha matope pamoja na mawe kuanguka kuelekea sehemu za chini ambapo watu wengi walifunikwa na kufariki wakiwa wamelala. Mkasa huo unasemekana kuwa mbaya zaidi jimboni humo tangu mafuriko ya 2018 yalipotokea . - Reuters #kerala #maporomoko #mafuriko #India #vifo #voa #voaswahili
India: Waokoaji Kerala wakitafuta manusura, watu 166 wafariki
- 7 Aug 2025 - Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project