Skip to main content
Skip to main content

India yaadhimisha miaka-77 tangu kutangazwa kuwa Jamhuri

  • | KBC Video
    186 views
    Duration: 2:35
    Waziri mwenye mamlaka makuu aliye pia waziri wa mashauri ya nchi za kigeni, Musalia Mudavadi, alihudhuria maadhimisho ya miaka-77 ya Jamhuri ya India. Hafla hiyo iliandaliwa kwenye ubalozi wa India humu nchini jijini Nairobi, ambapo Mudavadi alisifia mahusiano thabiti na ya kihistoria baina ya Kenya na India. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive