Inspekta Jenerali asema polisi hawataingilia uhuru wa vyombo vya habari

  • | Citizen TV
    1,514 views

    Inspekta jenerali japhet koome amehakikishia wanahabari uhuru wao huku akidokeza kuwa uchunguzi unaendelea dhidi ya maafisa wa polisi wanaodaiwa kuwadhulumu wanahabari wakiwa kazini.