Inspekta Jenerali Japhet Koome aapishwa na kuanza kazi

  • | Citizen TV
    1,175 views

    Inspekta Jenerali wa nne aliyekula kiapo leo japhet koome amewaonya wahalifu dhiidi ya kuvuruga amani nchini akisema kuwa atakabiliana nao kulingana na sheria