IPOA yaashiria njama ya kuficha ushahidi

  • | Citizen TV
    4,808 views

    Naibu mwenyekiti wa mamlaka huru ya kutathmini utendakazi wa polisi (IPOA) Anne Wanjiku ameeleza bunge la Seneti namna ambavyo picha za CCTV za kituo cha polisi cha central zilizimwa kabla ya marehemu Albert Omondi Ojwang’ kufikishwa kituoni.