'Kutoka kwenye majivu mpaka magorofa ya kuvutia'

  • | BBC Swahili
    1,174 views
    Ni mji mkuu wa Somalia,Mogadishu ambao awali ulitambulishwa kwa migogoro na uharibifu lakini sasa unakuzwa kwa ujenzi. Majengo ya ghorofa ya makazi na ofisi ya kisasa, unaonesha ustahimilivu na nia thabiti ya watu wake. Katika miaka mitano iliyopita, zaidi ya majengo 6,000 yametengenezwa Mogadishu na mamia zaidi yanatarajiwa kujengwa, kwa mujibu wa ofisi ya meya. Mwandishi wa BBC,@fardawsa_hanshi amepitia Somalia hivi karibuni, ambapo alikutana na wahandisi wawili vijana ambao wamekuwa katikati ya ukarabati wa mji huo. - - #bbcswahili #mogadishu #wanawake #Somalia #miji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw