IPOA yasilisha ombi la kutotambuliwa kwa shahidi

  • | Citizen TV
    624 views

    Mamlaka ya kuangazia utendakazi wa Polisi IPOA imewasilisha ombi la kutotambuliwa hadharani kwa shahidi mmoja aliopangwa kutoa ushahidi katika uchunguzi wa kifo cha Rex Masai wiki ijayo.