Isaac Chol awasahangaza wengi kwa kuamua kujiunga na shule

  • | K24 Video
    24 views

    Isaac Chol raia wa anayeishi humu nchini amewashangaza wengi kwa kuamua kujiunga na shule moja ya msingi katika kaunti ya Uasin Gishu akiwa na umri wa miaka 32. Chol amejiunga na shule hiyo pamoja na mwanawe mwenye umri wa miaka nane ambaye yuko katika darasa la pp1.aifa la Sudan Kusini