Israel inatumia njaa kama silaha ya vita Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    4,110 views
    Wanachama wote wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, isipokuwa Marekani tu, wamesema kwa kauli moja kwamba baa la njaa linaloshuhudiwa Gaza ni janga lililosababishwa na binadamu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw