- 6,181 viewsDuration: 2:29Vikosi vya Israel vinaendeleza operesheni ya ardhini Gaza kwa siku ya tatu, vikilenga kuwamaliza wapiganaji wa Hamas na kuwaokoa mateka. Zaidi ya watu 60 wameuawa, huku milipuko ikisikika usiku kucha. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw