Iwe mvua au jua, huko Luanda viatu lazima viwe vinang’ara
Je ni utamaduni, au kawaida, au ni tabia? Kwa sababu yoyote ile, wananchi wa Angola wana desturi ya kuhakikisha viatu vyao vinang’ara kila asubuhi.
Wavulana kama Tonilson wanapata kipato chao kwa kusafisha na kung’arisha viatu vya wateja wao. Kwa kwanza 200, Tonilson anang’arisha viatu kwa haraka kama mtu asiyekuwa na muda wa kupoteza wakati.Haachi kitu chochote, si mchoyo wa kutumia povu au dawa ya viatu. Nilipomwambia yeye ni kijana mwepesi zaidi katika jukumu hili, alitabasamu na kugeuza uso wake. Pengine kwa sababu kupongezwa hakutamzuia asipate njaa au kwasababu kanda za video kama hiyo bado hazijabadilisha maisha yake.
@mayradelassalette
#luanda #angola #shoeshine #wateja #tonilson #viatu #kungarisha #voa #voaswahili
17 Jun 2025
- The matatu operators promised to halt transport services until their demands are met.
17 Jun 2025
- Protests on Tuesday took a violent turn after goons stormed the Nairobi CBD.
17 Jun 2025
- The police officer was caught on camera shooting the man.
17 Jun 2025
- Siaya Resident Magistrate’s Court has ordered blogger Michael Oduor, also known as Mike Ochieng, to pay Ksh.3 million in general damages for defamation.
17 Jun 2025
- Anti-riot police officers on Tuesday opened fire at a hawker selling face masks at close range along Moi Avenue in Nairobi CBD during the demonstrations calling for the resignation of Deputy Inspector General Eliud Lagat.
17 Jun 2025
- Seven police officers suspected of shooting and killing Daniel Mwangi in London Estate, Nakuru, on June 9, have been detained for seven more days, pending investigations by Independent Policing Oversight Authority (IPOA).
17 Jun 2025
- Court rules that Mr Wilfred Nyagudi suffered reputational harm as a result of the posts which first appeared on Facebook.
17 Jun 2025
- A protester was reportedly shot dead in the CBD.
17 Jun 2025
- Karua said killing of man in CBD was “another extra judicial execution.”
17 Jun 2025
- Despite a heavy presence of police in Kisumu, the city did not witness any demonstrations
17 Jun 2025
- Images seen by the Star, show the deceased shot at close range by a police officer
17 Jun 2025
- The matatu operators promised to halt transport services until their demands are met.
17 Jun 2025
- NAIROBI CBD protests: Man fatally shot on Moi Avenue; tension high outside Bliss Medical Centre where he was rushed after the incident.