Izrail yazidi kulipua makombora eneo la Gaza

  • | Citizen TV
    1,075 views

    Izrail inazidi kulipua makombora katika eneo la Gaza huku mapigano kati ya nchi hiyo na kundi la Hamas yakiingia siku ya sita. Izrail imeunda baraza la dharura za kuweka mikakati ya kukabiliana na Hamas, ikiarifiwa kuwa zaidi ya watu 1,200 wa Izrail wamefariki.