Jaji Lenaola awatahadharisha wadau dhidi ya kuhujumu uhuru wa mahakama

  • | KBC Video
    23 views

    Jaji Isaac Lenaola ameonya kwamba baadhi ya wadau wa kisheria wanatumiwa kutatiza uhuru wa idara ya mahakama. Justice Lenaola aliyasema hayo wakati wa kuzinduliwa kwa mpango wa mwaka 2025 – 2030 wa tume ya kimataifa ya wanasheria, tawi la Kenya. Aliihimiza idara ya mahakama ilinde amali za uadilifu na usawa ili kujenga jamii yenye haki na hadhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive