Skip to main content
Skip to main content

Jaji Maraga akosoa serikali kwa kushindwa kuwekeza katika elimu

  • | Citizen TV
    90 views
    Jaji mkuu mstaafu David Maraga amekashifu kile anadai ni serikali kukosa kuwekeza katika masomo. Maraga anasema hali hii imesababisha matokeo duni miongoni mwa wanafunzi katika baadhi ya shule. Maraga akitaja uhaba wa walimu, ukosefu wa miundo msingi na ufadhili wa chini kama changamoto kuu, akitaka marekebisho ya mtaala wa CBE